From: 
Friday, September 8, 2017
To: 
Thursday, September 14, 2017
Place of Event: 
Dar Es Salaam & Tanga

Sekta ya Bima nchini itaadhimisha wiki ya bima itakayoanza tarehe 08 Septemba, 2017 ambayo itashirikisha wadau wote wa bima wakiwemo wateja wa bima,  mawakala, madalali, wakadiria hasara makampuni ya bima pamoja na umma kwa ujumla . Kilele chake kitakuwa tarehe 14 Septemba, 2017 mkoani Tanga katika Hotel ya Tanga Beach Resort & Spa, Tanga Tanzania. Wadau wa bima na wananchi wote mnakaribishwa kushiriki na kupata elimu na huduma mbalimbali za bima.

Contact Person: 
Adelaida Muganyizi
Contact Email: 
amuganyizi@tira.go.tz