From: 
Friday, September 8, 2017
To: 
Friday, September 8, 2017
Place of Event: 
Mwembe Yanga, Dar Es Salaam

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima inategemea kuzindua mfumo wake wa kuhakiki bima za vyombo vya moto yaani TIRA MIS tarehe 8 Septemba 2017 katika uwanja wa Mwembe Yanga, katika Manispaa ya Temeke. Uzindunzi huo utaambatana na utoaji wa elimu muhimu ya bima kwa wananchi na jinsi ya kutumia TIRA MIS. Wananchi na watendaji wote wa bima mnaombwa kuhudhuria katika uzinduzi huo. 

Epuka Bima Bandia, kata  bima halali kwa usalama wako, chombo chako na abiria wako.

Contact Person: 
Adelaida Muganyizi
Contact Email: 
amuganyizi@tira.go.tz