-
Kamishna wa Bima Dkt. Baghayo Saqware akisalimiana na baadhi ya washiriki wa tamasha la michezo kwa afya liloratibiwa na Chama cha Madalali wa Bima (TIBA) katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam 24 Februari 2018.
Post date: Wed, 02/28/2018 - 10:40

Post date: Wed, 02/28/2018 - 10:39
-
Baadhi ya wafanyakzi wa Mamlaka wakimsikiliza mkufunzi wa masuala ya bima mtawanyo katika mafunzo yaliyofanyika Dar es Salaam na kudhaminiwa na ZEPRE, Februari 2018.
Post date: Wed, 02/28/2018 - 10:34
-
Congratulatory message to the Deputy Attorney General Mr. Paulo Joel Ngwembe
Post date: Tue, 02/06/2018 - 11:09
-
Mkuu wa Mkoa Morogoro Dkt. Steven Kebwe akifungua baraza la wafanyakazi la TIRA
Post date: Tue, 01/30/2018 - 20:23
-
Kamishna wa Bima Nchini Dr. Baghayo A. Saqware akieleza umuhimu wa Tovuti ya kulipia Bima za Shehena.
Post date: Wed, 01/24/2018 - 16:52
-
Baadhi ya wataalam wa bima kutoka Mamlaka ya Usimamizi wa Shughuli za Bima nchini (TIRA) wakifuatilia mafunzo ya kusimamia biashara ya bima mtawanyo
Post date: Fri, 01/05/2018 - 12:55
-
Kamishna wa Bima Nchini Dr. Baghayo A. Saqware (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo kuhusu biashara za bima Mtawanyo yaliyofanyika jijini Arusha akiwa na Mkurugenzi wa Leseni na Mwenendo wa Soko Bw. Elia Kajiba (kushoto)
Post date: Fri, 01/05/2018 - 12:43
-
Seasonal Greetings from Commissioner of Insurance to Insurance Registrants
Post date: Tue, 12/26/2017 - 07:49