Bi. Jackline Matiku kutoka moja ya makampuni ya bima yaliyoshiriki katika maadhimisho ya wiki ya Bima Zanzibar akifurahi na watoto katika Kituo cha Kulelea watoto cha Sebuleni baada kuwatembelea.