Bw. Elia Kajiba (Mkurugenzi wa Ukaguzi wa Bima - TIRA) na mwakilishi kutoka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) wakipokea maoni na maswali kutoka kwa wadau wakati wa kongamano la fursa za kiuchumi katika mradi wa bomba la mafuta (EACOP).