Kamishna wa Bima Dkt. Baghayo Saqware akisalimiana na baadhi ya washiriki wa tamasha la michezo kwa afya liloratibiwa na Chama cha Madalali wa Bima (TIBA) katika viwanja vya Gymkhana, Dar es Salaam 24 Februari 2018.