Kamishna wa Bima nchini Dr. Baghayo A. Saqware akitoa maelezo na muongozo kwa waandishi wa habari kuhusu waraka No.55/2017 kuhusu ufanyaji wa biashara za bima mtawanyo utakoanza kutumika kuanzia Januari 01.101.2018, kulia kwake ni rais wa Chama cha Madalali Tanzania (TIBA) Bw. Mohammed Jaffer.