Kamishna wa Bima Nchini Dr. Baghayo A. Saqware (katikati) akifafanua jambo kwa washiriki wa mafunzo kuhusu biashara za bima Mtawanyo yaliyofanyika jijini Arusha akiwa na Mkurugenzi wa Leseni na Mwenendo wa Soko Bw. Elia Kajiba (kushoto)