Ndg. Issa Kissongo Kaimu Meneja wa Leseni na Mwenendo wa Soko akitoa mafunzo kwa maafisa wa makampuni ya bima (hawako pichani) jinsi ya kutumia mfumo wa bima wa kieletroniki katika kufanya biashara za bima mtawanyo.