Meneja wa Kanda ya Kaskazini wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Bw. Eliezer Rweikiza akiwaelekeza Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani mkoa wa Tanga jinsi ya kutumia mfumo wa kuhakiki bima za vyombo vya moto kabla ya kuanza kampeni ya kuhamasisha matumizi ya mfumo huo (TIRA MIS).