Mkurugenzi wa Leseni na Mwenendo wa Soko Bw. Samwel Mwiru akiongea na waandishi wa habari (hawako pichani) kuhusu faida za kuwa na waraka wa kusimamia upelekeaji wa biashara za bima mtawanyo nje ya nchini kushoto kwake ni Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Makampuni ya Bima Bw. Charles Sumbwe