Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mh. Amos Makalla akiteta jambo na Kamishna wa Bima nchini Dr. Baghayo Saqware katika hafla ya kutoa hundi za fidia kwa wahanga wa moto katika soko la SIDO