Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Bibi Adelaida Muganyizi pamoja na Meneja wa TEHAMA Ndugu Aron Mlaki wakimkaribisha Mh. Aziza Mangosongo na kusaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo kuhusiana na bima mbalimbali na kufundishwa kutumia mfumo wa TEHAMA wa kuhakiki bima za vyombo vya moto.