Naibu wa Waziri wa Ardhi Mh. Anjelina S.L. Mabula (Mb) akisaini kitabu cha wageni cha TIRA mara baada ya kutembelea banda la Mamlaki na kupata maelezo ya mfumo wa kuhakiki bima za vyombo vya moto na kutoa wito kwa Mamlaka kuendelea kutoa elimu hii kwa wananchi wengi zaidi ili wajiunge na biashara ya bima au watumie huduma na bidhaa za bima kwa manufaa yao na taifa kwa ujumla.