Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Abdallah Ulega akisisitiza jambo alipotembelea Ofisi Ndogo ya TIRA Jijini Dar es Salaam hivi karibuni.