Naibu Kamishna wa Bima Bi. Khadija Issa Said akifanya ukaguzi wa uhalali wa bima za vyombo za moto mjini Unguja. Ukaguzi huo umefanyika kuanzia tarehe 04 Machi 2019.