Kamishina wa Bima Dkt. Baghayo Saqware (mwenye kaunda suti nyeusi) akiwa na Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Bibi Aledaida Muganyizi wakifurahia jambo na Waziri wa Fedha na Mipango, Mh. Dkt. Filipo Mpango (Mb) mara baada ya kupokea maelezo mafupi ya ushiriki wa Mamlaka katika maonyesho ya Nane Nane Kitaifa, Ngongo Mkoani Lindi.