Wafanyakazi wa Mamlaka ya Bima wakiongozwa na Kamishina wa Bima Dkt Baghayo Saqware kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Fedha na Mipango Mh. Dkt. Filipo Mpango (Mb) mara baada ya kutembelea na kupata maelezo kuhusu ushiriki wa Mamlaka katika Maonyesho ya Nane Nane Kitaifa Ngongo Mkoani Linid na kufurahishwa na utoaji wa huduma kwa wananchi waliotembelea banda la Mamlaka na kutoa wito kwa mamlaka kuendelea kufanya kazi kwa bidii, ubunifu na weledi mkubwa ili wananchi wote wanufaike na huduma zitolewazo na bima.