Waziri wa Fedha na Mipango -Zanzibar Mh. Balozi Mohamed Ramia (kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Kamishna wa Bima Dkt. Baghayo Saqware (Kushoto) na Naibu Kamishna wa Bima Bi. Khadija Said walipomtembelea ofisini kwake hivi karibuni.