Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

TIRA Logo
Kamishna wa bima Tanzania akutana na Afisa Mtendaji Mkuu wa NMB - Kujadili masuala mbalimbali kukuza sekta ya bima nchini
05 Feb, 2025

January 29, 2025 Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware amezuru Makao Makuu ya NMB Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi. Ruth Zaipuna kuhusu namna bora ya kuendeleza sekta ya bima nchini hususan Benki wakala wa Bima ( Bank assurance ).

  Akielezea madhumuni ya ziara hiyo DKt. Saqware amesema Benki wakala bado wana fursa nzuri ya kupanua wigo wa biashara katika sekta ya bima kwa kubuni huduma mpya mbalimbal

January 29, 2025 Kamishna wa Bima Tanzania Dkt. Baghayo Saqware amezuru Makao Makuu ya NMB Jijini Dar es Salaam na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki hiyo Bi. Ruth Zaipuna kuhusu namna bora ya kuendeleza sekta ya bima nchini hususan Benki wakala wa Bima ( Bank assurance ).

  Akielezea madhumuni ya ziara hiyo DKt. Saqware amesema Benki wakala bado wana fursa nzuri ya kupanua wigo wa biashara katika sekta ya bima kwa kubuni huduma mpya mbalimbali hivyo kuwasihi NMB kufanya tafiti za Mara kwa mara ili kuona maeneo ya kuboresha. Kamishna pia ameipongeza NMB kwa kutekeleza vyema mkakati wake wa uhamasishaji matumizi ya bima kwa kutumia Mbununu mbalimbali iliwemo kampeni maalum.

Katika mazungumzo hayo Bi. Zaipuna aliambatana pia na Afisa Mkuu wa Benki Wakala wa NMB Bw. Martine Massawe ambae aliishukuru Mamlaka kwa ushirikiano na Usimamizi mzuri wa sekta huku akiiomba Mamlaka kuendelea kuweka mazingira mazuri ya ya ufanyaji kazi wa benki wakala huku akibainisha namna NMB inavyowekeza kwenye kutoa elimu na kuwafikia umma wa Watanzania ambao ndiyo walengwa wakubwa TIRA kwa soko salama la bima.

TIRA KWA SOKO SALAMA LA BIMA

i hivyo kuwasihi NMB kufanya tafiti za Mara kwa mara ili kuona maeneo ya kuboresha. Kamishna pia ameipongeza NMB kwa kutekeleza vyema mkakati wake wa uhamasishaji matumizi ya bima kwa kutumia Mbununu mbalimbali iliwemo kampeni maalum.