-
Mkuu wa Wilaya ya Newala Mh. Aziza A. Mangosongo akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili katika banda la Mamlaka ya Bima katika maonyesho ya Nane Nane kitaifa Ngongo, Mkoa wa Linid
Post date: Fri, 08/11/2017 - 14:12
-
Naibu Waziri wa Ardhi Mh. Anjelina S.L. Mabula (Mb) akipata maelezo ya mfumo wa TIRA MIS kutoka kwa Mkurugenzi Bibi Adelaida Muganyizi katika Maonyesho ya NaneNane yanayofanyika Kitaifa Ngongo, Lindi
Post date: Wed, 08/02/2017 - 17:01
-
Naibu Waziri wa Ardhi Mh. Anjelina S.L. Mabula (Mb) akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kupata maelezo kuhusu mfumo wa TIRA MIS katika Maonyesho ya NaneNane yanayofanyika Kitaifa Ngongo, Lindi
Post date: Wed, 08/02/2017 - 16:45
-
Wafanyakazi wa TIRA washiriki matembezi ya kuhamasisha na ku elimisha umma wa Tanzania juu ya umuhimu wa huduma za bima (Insurance Awareness Walk) yaliyoratibiwa na Umoja wa Madalali wa Bima Nchini (TIBA)
Post date: Wed, 08/02/2017 - 16:38
-
Kaimu Afisa wa Usalama Barabarani wa wilaya ya Kahama Bw. G. Kaigwa akifurahi jambo na maofisa wake wakati wa mafunzo ya matumizi ya TIRA MIS
Post date: Mon, 05/29/2017 - 15:50
-
Meneja wa Kanda ya Kaskazini Bw. E. Rweikiza akiwaelekeza jinsi ya kutumia TIRA MIS Polisi wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Tanga
Post date: Mon, 05/22/2017 - 12:23
-
Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mh Dk. Leonard Masale akionyeshwa jinsi ya kuhakiki bima za vyombo vya moto mara baada ya kuzindua mafunzo na matumizi ya TIRA MIS jijini Mwanza
Post date: Mon, 05/22/2017 - 12:09
-
TIRA MIS Kuanza Rasmi Kutumika Kuhakiki Stika za Bima za Vyombo vya Moto
Post date: Wed, 05/10/2017 - 12:19
-
Kamishna wa Bima Dkt. Baghayo Abdallah Saqware akiongea na Waandishi wa ...
Post date: Wed, 04/12/2017 - 08:55
-
Commissioner of Insurance (centre) insisting a point during panel discussion at the summit
Post date: Wed, 03/29/2017 - 16:46