-
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Fedha na Mipango, Bi. Mary Maganga (wa pili kulia) akimkabidhi Kamishna wa Bima Dkt. Mussa Juma nakala ya Mpango Mkuu wa Maendeleo ya Sekta ya Fedha wakati wa uzinduzi Jijini Dodoma.
Post date: Tue, 11/17/2020 - 10:49
-
Waziri wa Kilimo Mh. Japhet Hasunga akimkabidhi Kamishna wa Bima Dkt. Mussa Juma nyaraka za Bima ya Mazao baada ya uzinduzi uliyofanyika katika Maonyesho ya Nane Nane Mkoani Simiyu.
Post date: Wed, 08/07/2019 - 10:32
-
Kamishna wa Bima Dkt. Mussa Juma (kushoto) akimkabidhi zawadi ya kumbukumbu Mgeni Rasmi Ndg. Mgonya Benedicto- Kamishna wa Sera Wizara ya Fedha (Katikati) katika wa Mkutano wa Mwaka wa Chama cha Madalali wa Bima nchini (TIBA) kulia ni Tryphone Rutazamba.
Post date: Wed, 08/07/2019 - 10:14
-
Mteja aliyetembelea banda la TIRA katika maonyesho ya Saba Saba akisaini kitabu baada kupewa elimu ya bima
Post date: Mon, 07/15/2019 - 12:43
-
Mteja aliyetembelea banda la TIRA katika maonyesho ya Saba Saba akisaini kitabu baada kupewa elimu ya bima
Post date: Mon, 07/15/2019 - 12:43
-
Ndg. Egnace Mikindo - Meneja Kanda ya Mashariki akimsikiliza mteja katika maonyesho ya sabasaba.
Post date: Fri, 07/12/2019 - 10:58
-
Tuzo za Umahiri katika Sekta ya Bima Nchini.
Post date: Wed, 05/22/2019 - 11:00
-
Mgeni Rasmi Dkt. Yamungu Kayandabila akimkabidhi cheti Naibu Gavana - BOT Dkt. Bernard Kibesse katikaa uzinduzi wa Kanuni za Kusambaza Bima kupitia Benki.
Post date: Wed, 05/22/2019 - 10:04
-
Hafla ya uzinduzi wa Kanuni za Kusambaza Huduma za Bima kupitia Benki
Post date: Wed, 05/22/2019 - 10:00
-
Sekta ya Bima ya Changia Ujenzi wa Vyoo vya Mfano kwa Watoto wa Kike
Post date: Mon, 04/29/2019 - 16:33