Majukumu Yetu
- Kusajili na kutoa leseni kwa watoa huduma za bima;
- Kuandaa na kutoa Kanuni na Miongozo mbalimbali ya kusimamia soko la Bima;
- Kutoa elimu ya bima kwa Umma;
- Kulinda haki za mteja wa Bima;
- Kuendeleza, kusimamia uhimilivu na uendelevu wa soko la Bima;
- Kushauri Serikali kuhusu mambo ya Bima