Ukaguzi wa Bima kwa vyombo vya moto. Naibu Kamishna wa Bima Bi. Khadija Issa Said akifanya ukaguzi wa uhalali wa bima za vyombo za moto mjini Unguja. Ukaguzi huo umefanyika kuanzia tarehe 04 Machi 2019.