Waziri wa Kilimo Mh. Japhet Hasunga akimkabidhi Kamishna wa Bima Dkt. Mussa Juma nyaraka za Bima ya Mazao baada ya uzinduzi uliyofanyika katika Maonyesho ya Nane Nane Mkoani Simiyu.