Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. Samia Suluhu na Inspekta Jenerali wa Polisi Simon Sirro wakifurahia mchango wa sekta ya Bima katika shughuli za ulinzi na usalama.