TIRA na Jamii: Wiki ya Utumishi wa umma, Utoaji elimu na uhamasishaji matumizi ya bima waendelea
                                
                                
                                
                                
                                
                            
                        
                                
                                     
                                    21 Jun, 2025
                                
                            
                        
                            Karibu kwenye banda la TIRA kwenye maonesho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2025, Chinangali Park, Dodoma ujifunze zaidi na ujue fursa zilizopo kwenye sekta ya bima kwako wewe Mtanzania.
Tupo hapa mpaka saa 12 jioni hadi tarehe 23 Julai 2025. Njoo Tunakusubiri!
#WikiYaUtumishiWaUmma2025 #TIRAKwaSokoSalamalaBima #BimaniKinga
            