Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania

TIRA Logo
TIRA YAFIKISHA UJUMBE WA BIMA KWA WANA - RUVUMA
Kamishna wa Bima Tanzania Dr. Bhaghayo Saqware pamoja na viongozi wengine kutoka TIRA leo Agosti 12, 2024. Wamepeleka ujumbe wa elimu ya Bima kwa mkoa huo kupitia ofisi ya Mkuu wa Mkoa ambapo walikutana na Mkuu wa Mkoa huo, Kanali Abbas Ahmed Ahmed.