MKUTANO WA WAKUU WA MAMLAKA ZA USIMAMIZI WA BIMA AFRIKA
                                
                                
                                
                                
                                
                            
  
                        
                                
                                     
                                    30 Nov, 2022
                                
                                
                                     
                                    09:00am 
                                
                            
                        
                                
                                     
                                    AICC ARUSHA
                                
                            
                        
                                
                                     
                                    eliezer.rweikiza@tira.go.tz
                                
                            
                        Mkutano ya Wakuu wa taasisi za Usimaizi wa Bima kwa Afrika utafanyika Jijini Arusha kuanzia tarehe 30 Novemba - 2 Desemba 2022 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC) ukibeba kauli mbiu isemayo : "Bima ya Afrika: Kushinda kwa pamoja katika AfCFTA"
Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania atakuwa mgeni rasmi katika sherehe za ufunguzi wa mkutano huo siku ya Jumatano tarehe 30 Novemba 2022 saa 09:00 asubuhi katika ukumbi huo huo. Mkutano huo unatarajiwa kuhudhuriwa na takriban watu 300 kutoka mataifa mbalimbali Barani Afrika na kujadili masuala mbalimbali kuhusu bima.
Kwa Usajili tembelea: retreat. http://retreat.acisp.ac.tz/home
                            
            